
Used Fridge
Samsung used very good condition. 0715 710122
Price: TZS200,000
Private Seller: sales i
Samsung used very good condition. 0715 710122
Price: TZS200,000
Private Seller: sales i
Nauza fridge yang ya mtumba nzima sana iko poa haina shida kabisa sem tuu gesi imeisha ni ya kujaza ila inagandisha na kupoza fresh kabisa Nauza 280k kwa wateja serious nipigie 0658341005 nipigie tuwasiliane
Price: TZS280,000
Private Seller: Navvy T
Beko Fridge single door inauzwa sifa zake Inapooza Inagandisha kwa muda mfupi Stand 3 na Base 1 Unapata na Pallet kama stand Location: Sinza kijiweni Contact : 0625691308 Price : 210000
Price: $180,000
Private Seller: Sunday E
Friji nzuri sana beiake ni laki3 tu 0684467781 TZS300,000 110
Price: TZS300,000
Private Seller: Alvin P
BOSS FRIDGE GOOD CONDITION LINAGANDISHA NA KUPOZA LIPO KIMARA SUKA PRICE: 430,000/= 0692-591517/0714-216572 HISENSE SMART TV INCH 43 GOOD CONDITION NA BOX LAKE LIPO IPO KIMARA SUKA PRICE:580,000/=
Price: FREE
Private Seller: Baracka W
Njoo inbox uchukue friji zuri Bei ya kutupa kama una biashara ita kufaa pia //0789437379
Price: TZS500,000
Private Seller: Magari S
Tunalekebisha fridge namba 0712361492
Price: FREE
Private Seller: Mushi A
Fridge kali ipo dar airport Kampuni alitop 350000 tshs 0623681996
Price: TZS350
Private Seller: KITU C
Nauza friza kubwa,laki nne na nusu.piga 0787 036 758 kwa maelezo zaidi
Price: TZS450,000
Private Seller: Ve L
ni nzuri kwa usafi wa maji ...mzigo mupya dukani tunamalizia mzigo wahi.. jikinge wewe na familia dhidi ya magonjwa kwa kushea maji kinga maji kwa usafi
Price: TZS15,000
Private Seller: Abdul C
Friji zuri Lina gandisha na kupooza vizuri sana Bei ya ofa wahi Piga/wasap //0789437379
Price: TZS460,000
Private Seller: UZA N
FRIJI - ALITOP, HALIJATUMIKA KABISA LINATAKA 300K TU| / 0658 274 336
Price: TZS300
Private Seller: Stayah T
Tv/Fridge Guard 15 110 Una Tv ya Thamani, umenua pesa nyingi.. unakubali vp iungue kwa short ya umeme? Una Fridge la maana, la thamani kubwaa.. unakubalije lipigwe short ya Umeme? Kula Chuma ichooo... kwa Elfu 15 tuu, kila kimoja. Inalinda vitu vya malaki kazaa.. KIBAHA - KWAMATIAS
Price: €15
Private Seller: Ally W
Nauza fridge aina ya boss l92. po vzur mno haina shda yyt. po kgambon kibada sheli. Nataka 230 top 0682239484
Price: TZS230
Private Seller: Japheth S
Nauza fridge milango miri rigandisha vizuri sana napatikana dar 0678324111
Price: TZS600,000
Private Seller: Inxtant B
Hisense fridge nzuri limetumika miezi 5 420000 0783679949 goba kwa Robert
Price: $420,000
Private Seller: KITU C
Friji inatumia umeme mdgo sana aina tatzo lolote katikabutendaji wke wa kazi Kipengere ni stabarza yakuwashia tu
Price: $170,000
Private Seller: Dar B
Fridge hisense Litre 182 limetumika miezi 3 430000 goba kwa Robert 0783679949
Price: $430,000
Private Seller: Beezy B
Samsung min friji bei 170 Contact seller Samsung min friji bei 170k lipo sinza halimjui fundi piga simu 0684160202
Price: Contact seller
Private Seller: Theo T
White fridge with bottom freezer. Good condition. Contact 0716981767
Price: TZS500,000
Private Seller: sales i
FOSTER'S DISPLAY FRIDGE 500LITA MTUMBA BEI 950K LINABEBA KRETI 13 BARIDI NUSU SAA UMEME KIDOGO LOCATION UKONGA
Price: TZS950
Private Seller: HANCY M
1 month used Mr UK Refrigerator
Price: $550,000
Private Seller: Dar B
FOR SALE HISENSE FRIDGE
Price: TZS1,300,000
Private Seller: Moiz A
Piga chap 0750201788 fridge za kioo hizo ni umeme na bei imepowa saana
Price: TZS520,000
Private Seller: JOSEE M
Friji nzuri sana lakisasa sana brand ni Samsung lakuweka mazagazaga yako yote ni used kutoka Uingereza linauzwa Bei milioni 1 tu Fika ofisini kwetu Muhimbili Dar es salaam Piga namba 0689530463,0778079319
Price: TZS1
Private Seller: KALLS M
Fridge bado iko safi kijitonyama call 0713566617
Price: TZS300,000
Private Seller: Kyg P
Nahitaji friji kama hii nipo mbeya City
Price: FREE
Private Seller: Mbeya R
Nauza freezer 0684891476 $230,000 110
Price: $230,000
Private Seller: sales i
Friji aina ya Samsung Bei imeshuka: Tsh 180,000/=(Fixed) Mahali: Kisasa Laliga-Dodoma Phone: 0625508714
Price: $66
Private Seller: January T
Nahitaj frizA Lita 150 had 200,iwe clean Na isiwe imeungiwa zile paip tumapicha au pig0789795350 loc sinza
Price: $220
Private Seller: UZA N
NAUZ FRIJI LG BEI 270K UBUNGO RIVERSIDE 0787654072
Price: $270,000
Private Seller: Sammy K
Freezer hiyo haina shida yeyote nicheck tuzungumze inagandish vizur TZS180,000
Price: TZS180,000
Private Seller: Ibrahim K
Freezer boss hiyo iko safi haina kipengele nicheck tuyajenge inagandish vizur TZS180,000
Price: TZS180,000
Private Seller: Sohail A
Freezer boss hiyo iko safi inagandish vizur haina shida yeyote nicheck tuzungumze TZS180,000
Price: TZS180,000
Private Seller: TANZANIA O
Piga chap 0750201788 zege hailali bei ya kitonga Mali Safi huwakika kwa laki3 tu wahi mapema ukicherewa bac
Price: TZS300,000
Private Seller: DE A
Juu freezer chini fridge halina kipengele chochote bado jipya 0629551637 Dar Es salam
Price: TZS600,000
Private Seller: KUPATANA B
Friji zuri aina ya Samsung Bei: Tsh 220k Mahali: kisasa Laliga Cont:0625508714
Price: $81
Private Seller: Dodoma B
Bei Tsh: 220,000/= Ipo Kisasa Laliga Cont: 0625508714
Price: $81
Private Seller: David N
Freezer hiyo hapo haina shida yeyote inagandish vizuri nicheck tuyajenge TZS250,000
Price: TZS250,000
Private Seller: JIPATIE P
Boss friji Lita 100 linafanya kazi fresh niko bunju a mianzini piga Sim 0625502968 bei 280,000
Price: $280,000
Private Seller: UZA N
Nauza frij nzuri beko offer lak 180k Inagandisha na kupooza Ipo mabibo Call 0710228293 Haina kipengele
Price: TZS180,000
Private Seller: Jonasi M
Friji mpya bado 220,000/= Printer 120,000 Meza 60,000 futi 4 Kwa 2 juu kioo Kabati 45,000 Jiko na mtungi Wenye gas 60,000 Kitanda size 5*6 bei 110,000/= Sofa Pana kabisa 150,000 Midoli miwili 80,000 Simu 0717935054 @everyone
Price: $220,000
Private Seller: Dar B
Fridge hii ya kisasa ni chaguo bora kwa nyumba yako. Inatoa nafasi kubwa ya kuhifadhi, ina muundo wa kuvutia, na ni rafiki kwa matumizi ya nishati. Faida zake ni pamoja na: 1. **Ufanisi wa Nishati**: Hupunguza gharama za umeme. 2. **Kudhibiti Harufu**: Chakula kinabaki na harufu safi. 3. **Sehemu Zinazoweza Kubadilishwa**: Urahisi wa kupanga vyakula. 4. **Dispensa ya Maji na Barafu**: Maji baridi na barafu wakati wowote. 5. **Muonekano wa Kuvutia**: Inaongeza mvuto kwenye jikoni yako. Ni fridge inayochanganya ubora, ufanisi, na mtindo.
Price: TZS450,000
Private Seller: Goodluck S