Nauza simu ambayo bado ipo katika hali nzuri kabisa hakuna tatizo lolote na inawasha kamera vizuri, wahi chapu uje kuchukua simu yako nicheki 0621489604
Price: TZS2,800,000
Private Seller: DAR P
Hii apa iPhone x gb 256 no face clean kbx imenyooka njoo ulipie tumalze exchange nafanya na samsung or google pixel
Price: TZS290
Private Seller: Mnma C
TUNATENGENEZA SIMU ZA AINA ZOTE, (services) 1.Tunabadilisha vioo vya simu (LED Replacement) 2.Tunakata vioo vya simu vilivyo crack 3.Tunabadilisha battery za simu aina zote (Battery Replacement) 4.Tunabadilisha mifuniko ya iPhone 8 mpaka 14 pro max 5.Tunabadilisha glass touch 6.software issues ""iPhone, Samsung, Google pixel 7.Tunatoa madoa kwenye kioo PIA TUNAUZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE Pamoja na glass touch na Accessories zote za simu kama covers n.k .......call 0712282527/0754369043
Price: TZS1
Private Seller: MAGARI U
Gb 64 Ram 4 .. 220 k kwa mawasiliano 0713288063
Price: TZS220,000
Private Seller: Sîxtö Ø
Google pixel 6a gb 128 ram 6 Good condition Fingerprint on screen Battery inakaa sana na chaji Camera simu inajieleza qali kinoma Bei 400k location kigamboni Exchange allowed
Price: TZS400,000
Private Seller: Samwel M
Google pixel 6 128GB 8GB Ram Fingerprint kwa kioo 5G Networking Battery imara sana Creck kidogo isiyo na madhara 310,000/= Exchange
Price: TZS310,000
Private Seller: Man Z
Google Pixcel 3axl Gb 64 price 210k tu nipo ubungo mawasiliano piga 0624391368
Price: TZS210
Private Seller: Alex J
Kama unavoiona bei 210k maongezi yapo exchange ipoo 64GB Ram 6GB. Camera kalii sana
Price: $210
Private Seller: SIMTOP(TANGAZA S
Google pixel 5 5G __starage 128 ram 8gb Inadot 1__nipeni 220000/tshng
Price: $220,000
Private Seller: FELIX M
Google pixel4xl Gb128 RAM6 Sim haina shida yoyte nauza tu Nataka kuchukua kubwa said Camera zake umeme Nichek0623839071
Price: TZS330
Private Seller: MAGARI U
Google Pixel 7A Storage 128Gb Ram 8Gb Battery 4385 mAh Finger& Face Unlock Camera Android 14 Price 620,000 Tsh FULL DOCUMENTS +255615435258
Price: TZS620,000
Private Seller: sales i
Google pixel 4 Imenyooka Gb64 Ram6 Better inaka San Camera umeme Location ubungo Nichk0752211814 Bei260k
Price: TZS260,000
Private Seller: Ismail F
Google pixel 4a mwiba GB 128 chuma bado mpya 230000
Price: TZS230,000
Private Seller: Jean M
Google pixel 6 plain Storeg 128 Ram 8 Camera sio ya kuhuliza Cm imedondoka ikapasuka mbele na nyuma naitaji elaah kazii inapiga vinzr Kam unaitaji kukata kiooh..! Na kubadili mfuniko nyuma inawezekan kwa 110k tyuu nakupa na no ya fundi Nicheki chap chap No:0622119711
Price: $320,000
Private Seller: DAR P
Google Pixel 6Pro Iko na scratches kwa screen(eka privacy protector dunda) Storage 128GB Camera balaa clean nauzaga 700k Naitupa kwa 560k tuuuuuu, Iko ofisini, lipia kesho ufate 0773898765
Price: TZS560,000
Private Seller: UZA N
OPPO A83 GB128 NAPOKEA EXCHANGE NA INFINIX, GOOGLE PIXEL, SAMSUNG UTAONGEZA NA ELA KIDOGO CASH: 130000 Storage 128GB ROM 4GB RAM Chaji mkataba Face ID Lication: Mbeya Tz Nafanya delivery kwa watu wa mikoani Piga/watsap 0742322214
Price: TZS130,000
Private Seller: Mbeya R
Google pixel 4 Gb 64 Ram 6 Camera ni Dunia Exchange 0764750759
Price: TZS250
Private Seller: Benvolio A
Nauza Google pixel 4 Ina cracke kidogo kwenye kioo Ram 8 Space 64 200,000 0769861543
Price: $200,000
Private Seller: Dogo L
Karibun nauza google pixel 4a 3xl zote zimenyooka .zote zina document zake ..3xl n 150000 Nichk 0692539033
Price: $280,000
Private Seller: Everius E
Nauza Samsung A 71,Exchange na Note 8,9 au Google Pixel,Storage 128, namba 0766374564
Price: TZS300,000
Private Seller: Mbeya R
TUNABADILI VIOO VYA SIM ORIGINAL KWA BEI NAFUU PIA TUNAONDOA CRAKE KWENYE VIOO NAKURUDISHA KATIKA MUONEKANO WA MPYA TUNAVIOO VYA IPHONE SAMSUNG GOOGLEPIXEL OPPO VIVO LG HUAWEI NOKIA .NK TUPO KARIAKOO MTAA WA AGREY NA LIKOMA 0787704624
Price: $35,000
Private Seller: Christian S
Gb64 Kila kitu kinafanya kazi used kama mpya haina scraches Ncheki whatsapp 0711310221
Price: TZS150,000
Private Seller: New M
Google Pixel 3a 64Gb 4Ram Fingerprint Ok Camera umeme Good Condition Exchange Allowed 0780309684
Price: TZS200,000
Private Seller: G W
TUNABADILI VIOO VYA SIM ORIGINAL KWA BEI NAFUU PIA TUNABADILI VIOO VYA SIM VILIVYOPATA CRAKE NAKURUDISHA KIOO UPYA TUNAVIOO VYA IPHONE SAMSUNG GOOGLEPIXEL HUAWEI NOKIA VIVO OPPO REDMI REALME TUNAPATIKANA KARIAKOO MTAA WA AGREY NA LIKOMA 0787704624
Price: $35,000
Private Seller: Lucas A
Google pixel 5.. 128gb ram 4..kijiclark kidg tu 265k.. Weka namba nikupigie
Price: TZS265,000
Private Seller: Gerald K
Google pixel 3A gb64 ram4 net4g
Price: TZS165,000
Private Seller: Vdj P
Phone: Google Pixel 3a Storage: 128GB Ram 4GB Camera: Unyama Android version:12 Kipengele mfuniko nyuma una clerk kidogo zisizo na madhara ila inapiga kazi fureeeesh. Nichek 0628499613
Price: TZS185,000
Private Seller: Abuu N
Google pixel 3xl Gb 128 piga 0623165161 Bei 200,000. Exchange nafanya na Samsung
Price: $200
Private Seller: Riccy B
Google pixel 5 plain gb 128 ram 8 camera moto chaji inakaa sana sim clean aina mambo mengi 0712478484
Price: TZS330,000
Private Seller: UZA N
Google pixel 4xl Gb 128 Ram 6 Camera umeme Mali halali Bei 380,000 Piga 0781365203
Price: TZS380,000
Private Seller: Elias S
Soma kwa makini Simu ni vivo y 93 Storage yake ni RAM 6GB NA ROM GB128 Nimeitumia mwezi moja tu Nauza kwa sababu naitaji kununua googlepixel hivyo naongezea ela Kila kitu nakupatia ambacho nilichukulia Lakn pia atakaye nunua ataifuta ofisini kwangu ili kama ataikuta ina tatizo lolote basi ajue pa kunipatia Ni simu nzuri nadhani kama umewai More
Price: TZS110,000
Private Seller: Brian K
R.O.M64 R.A.M6 SIMU MPYA KABISA HAINA TATIZO LOLOTE CAMERA UMEME ... ..... IMESHUKA BEI NJO NA Tsh280,000/= Tu..
Price: TZS280,000
Private Seller: Anold S
TUNABADILI VIOO VYA SIM COMPLETE ORGINAL KWA BEI NAFUU PIA TUNAONDOA GRAKE KWANYE VIOO KWA BEI NAFUU TUNAVIOO VYA IPHONE SAMSUNG GOOGLE PIXEL TECNO INFINIX REDMI REALME XIAOMI VIVO OPPO NOKIA HUAWEI LG OFISI IPO KARIAKOO MTAA WA AGREY NA LIKOMA 0787704624
Price: $35,000
Private Seller: Zefania S
. Google Pixel 4xl Used But Clean As New {6,128GB} 470,000Tzs 6Month Warranty Top Up & Xchange Allowed Call/WhatsApp;0684873509 Tupo Kariakoo Aggrey
Price: TZS470,000
Private Seller: Mashamba M
Google pixel 6a 128gb storage ,8gb ram ,4614mAh battery ,nahitaji Tzsh 400,000 Piga 0750639678 Mbeya
Price: FREE
Private Seller: MBEYA Y
Google pixel 6a Ina netwok lock ila unatumia wfi Gb 128 Ram 8 Fingerprint on screen 0674507346
Price: TZS260
Private Seller: Husslucky K
GOOGLE PICEL 4 GB 128 ClEAN SANAA HAINA KIPENGELE CHOCHOTE PRICE 270k 0749494207
Price: TZS270
Private Seller: Ngh'oro Y
Google pixel 4 plain Ram 4 GB 64 Camera umeme Ina klek kdg san kwenye sehem ya laini lkn inapiga kazi frsh Nafanya exchange
Price: FREE
Private Seller: UZA N
Google pixel 3a ram 4 storage 64 Kipengele crack kwachini hazina mazara Inafanya kazi vizur Bei 175000 0787870042
Price: TZS175,000
Private Seller: Dulla M
Google 3a TZS175,000 Google pixel 3a ram 4 storage 64 Kipengele crack kwachini hazina mazara Inafanya kazi vizur Bei 175000 0787870042
Price: TZS175,000
Private Seller: UZA N
Google Pixel 5 Storage:- 128GB RAM 6GB Condition:- Used Clean MEMORY Internal 128GB 8GB RAM BATTERY Li-Po 4080 mAh, non-removable Price:- 350,000/=
Price: $350,000
Private Seller: Exaudy E
Google pixel 6 128G 8GB Ram 5G Network 50Mp camera Quality sana fingerprint on display Battery imara Haina shida yoyote || Risiti ipo 440,000/= Exchange
Price: TZS440,000
Private Seller: Directors K
Google pixel 6 storage 128 gb ram 8 Bei 630,000 Napatikana mwanza mjinii mtaa wa Lumumba jengo la vunja bei 0658633799 Tunafanyajee delivery kwa mwanza mjinii Piaa Nia offaa ya kava na protect Mikoani tunatuma kwa uaminifu Gusa link ikuletee wastp wa.me/658633799
Price: TZS630,000
Private Seller: Saleehe R
Google pixel 3a Gb 64 Kamera umeme Haina kipengele chochote simu Bado mpya Mawasiliano 0614316004
Price: TZS210,000
Private Seller: Pirlo B