Houses for Sale in Tanzania 2024 | Nyumba Inauzwa

Property for Sale in Tanzania July 2024 | Houses for Sale

 • Kiwanja kinauzwa Mkonze Dodoma

  Property for Sale

  KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA MKONZE DODOMA. Yamkini una plan ya kujenga dream house, iliyozingirwa na garden iliyosheheni miti ya matunda, parking lot ya kutosha. Ama Unataka kujenga apartments nyingi katika eneo moja. Location sahihi ni mtaa wa chinyika, takribani kilomita 2 kutoka stendi ya maua Mkonze, na kilomita 10 kutoka city center. Kiwanja kina ukubwa wa 3500sqm (inakaribia ekari moja). Kimepimwa na kina hati. Bei ni Tzs 10,000 kwa square meter moja. Tupigie 0743387260

  Price: TZS10,000

  Property SellerPrivate Seller: Dodoma B

  View
  House for Sale in 411 411
 • NYUMBA INAUZWA CHANIKA MJINI MIL 40

  Property for Sale

  0719514377 0628877793 NYUMBA INAUZWA CHANIKA MJINI WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TSH 40,000,000) MAONGEZ YAPO NYUMBA INA ROOM 3 MASTA MOJA INA STINING ROOM DINING ROOM JIKO STOO CHOO NDANI FENSI MAJI GETI ENEO SQM 800 TOA OFA UKIWA SAITI

  Price: TZS40

  Property SellerPrivate Seller: Solo M

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
 • Nyumba zinauzwa

  Property for Sale

  Ukihitaji nyumba maeneo ya Ubungo nhc nitafute kwa namba 0676664423

  Price: $200

  Property SellerPrivate Seller: MAGARI S

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • DAKALI WA TEGETA MKWELI KUNA MALI SAFI NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA JIKO KUBWA

  Property for Sale

  DAKALI WA TEGETA MKWELI KUNA MALI SAFI NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA JIKO KUBWA CHOO SEBULE KUBWA SANA BEI 200 kwa malipo ta miezi 6 NIPIGIE 0618169499/0755169499 hii nyumba ipo tegeta kisanga

  Price: $200

  Property SellerPrivate Seller: SOKO K

  View
  House for Sale in 110 110
 • Nyumba ina eneo kuubwa inauzwa mbagala chamazi complex.utafuga na kila kitu.

  Property for Sale

  Piga/WhatsApp 0718313133 Bei yake shilingi milioni 105 Nyumba inauzwa mbagala chamazi complex wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina eneo kuubwa sana.Unaweza kufuga kama anavyofanya aliopo sasa. Ukitaka video yake unachk nikurushie. Bei yake shilingi milioni 105 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu Call/WhatsApp 0718313133

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: Sisco K

  View
  House for Sale in 110 110
 • Carperts

  Property for Sale

  Karibunii watejaa mjipatiee mazuliaa kwa bei nafuu na punguzoo pendezeshaa nyumbaa yako na zulia kwa mwonekano Bomba Kwa mawasiliano 0624583635

  Price: TZS18,000

  Property SellerPrivate Seller: Logman T

  View
  House for Sale in 110 110
 • NYUMBA INAUZWA MBAGALA MAGENGENI DAR ES SALAAM BEI MILION 37

  Property for Sale

  NYUMBA. INAUZWA MBAGALA MAGENGENI DAR ES SALAAM BEI MILION 37 PIGA 0789058811 SIFA VYUMBA 3 KIMOJA MASTA DINNING ROOM SITING ROOM UMEME BOMBA LA MAJI MADIRISHA ALMINIUM FENCE UKUBWA WA ENEO MITA 25 KWA MITA 60 eneo limebaki lakujenga

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: MAGARI U

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • MIL 85 000 000 TSHS 85 000 000 INAUZWA MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI ROM4

  Property for Sale

  HOUSE FOR SALE TSHS 85,000,000 /// 85,000,000 MIL HOUSE FOR SALE / NYUMBA NZURI SANA LOCATION: MBAGALA CHAMAZI FIXED PRICE: MILION (( 85 )) DOCUMENT ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA MALIPO YA DALALI COMMISSION 5% {MALIPO YA DALALI SERVICE CHARGE: UONYESHWAJI WA NYUMBA ZA KUNUNUA NI TSH 30,000} More

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: Dalali H

  View
  House for Sale in 140 140
 • NYUMBA INAUZWA MWANZA KISESA BUJOLA

  Property for Sale

  NYUMBA INAUZWA MWANZA-KISESA, BUJOLA Vyumba 3 (1 Master) Sitting room Dinning room Kitchen/Jiko Public Toilet Umeme Kiwanja 20x20 na kimepimwa Huduma zote muhimu kama Elimu, Afya na Barabara zipo Nyumba imekamilika kila kitu nje na ndani Bei 32Mill Karibu sana 0658493202

  Price: TZS32

  Property SellerPrivate Seller: Montleezy T

  View
  House for Sale in 331 331
 • DORMANT YA ROUND

  Property for Sale

  Dormant nzuri sana ya round unapendezesha nyumba yako safi sana

  Price: TZS20,000

  Property SellerPrivate Seller: Masalah I

  View
  House for Sale in 110 110
 • NYUMBA INAUZWA INATUPWA MILLION 19 INAVYUMBA VINNE NA SEBLE .IPO PUGU.0712315920

  Property for Sale

  NYUMBA INAUZWA INATUPWA VYUMBA VINNE, SITTING ROOM, PUBLIC TOILET. BEI MILLION KUMI NA TISA (19,000,000/=) BEI INAPUNGUA MWENYE NYUMBA ANASHIDA ZAKE. IPO PUGU KINYAMWEZI, WILAYA ILALA,DAR ES SALAAM. 0712315920.CALL&WHTSPPY. 0762102059.CALLL.

  Price: TZS19

  Property SellerPrivate Seller: sales i

  View
  House for Sale in Pugu, Dar Es Salaam, Tanzania Pugu, Dar Es Salaam, Tanzania
 • CCTV CAMERA

  Property for Sale

  Karibu sana wateja wetu wae mnaohitaji ulinzi wa CCTV camera kwenye maeneo yenu ya biashara, nyumbani, maofisini hata kwenye mashamba. Camera zetu zina ubora wa hali ya juu kabisa zenye picha nzuri na angavu. Camera zetu ni full colour usiku na mchana na zinarekodi video na sauti kwa pamoja. Gharama zetu za ufundi ni nafuu kabisa na utalipa malipo ya kazi kumalizika. Tupigie simu namba 0766810108. Au 0789027620 KARIBU SANA

  Price: TZS10

  Property SellerPrivate Seller: DEALS I

  View
  House for Sale in 231 231
 • Nyumba hiyo inapangishwa Ukonga madafu relini Kodi kwa miezi 4. TSH 130 000 Bado

  Property for Sale

  Nyumba hiyo inapangishwa Ukonga madafu relini Kodi kwa miezi 4. TSH 130,000 Bado mpyaaaa $130,000 Dar es Salaam, Tanzania

  Price: $130,000

  Property SellerPrivate Seller: UZA N

  View
  House for Sale in Dar es Salaam, Tanzania Dar es Salaam, Tanzania
 • NYUMBA YENYE ENEO SQMT 1380 INAUZWA KIBAMBA MLOGANZILA

  Property for Sale

  Nyumba nzuri Inauzwa milioni 65 maongezi yapo Ipo KIBAMBA CCM VIA MLOGANZILA ROAD - Dar es salaam - Tanzania Vyumba Vitatu vya Kulala Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1383 document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa) Kiwanja kimepimwa Hati More

  Price: TZS65

  Property SellerPrivate Seller: HANCY M

  View
  House for Sale in 110 110
 • Hisense fridge model H370BI. Capacity 270L used 8Month 3 years warranty

  Property for Sale

  Ni fridge nzuri kwa matumizi yote ya nyumbani Ni nyeusi na ya kioo Ina warranty ya miaka mitatu 3. Haina tatizo lolote kabsa linafaa kwa matumizi yote ya nyumbani.

  Price: TZS920,000

  Property SellerPrivate Seller: HANCY M

  View
  House for Sale in 110 110
 • HOME DELIVERY SHOP

  Property for Sale

  Duvet cover 1 Bed skit 1 Foronya 4 Ukubwa ni 8/8 ni mazuri *Material cotton Tunafanya Delivery Hadi Nyumban Mikoani Tunatuma kupitia Bus Weka Order yako sasahiv WhatsApp 0783377499

  Price: TZS80,000

  Property SellerPrivate Seller: Car D

  View
  House for Sale in 110 110
 • ongezasamani yanyumba yako kwakupiga ulembo kwaghalam nafuu kabisa tupigie 0673578316

  Property for Sale

  kwakazi zaulembo decoration kwabei poa usisite wasilian nas kupitia 0673578316 wasp 0673578316

  Price: $40,000

  Property SellerPrivate Seller: Abby M

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • NYUMBA INAUZWA IPO MJINI CHANIKA ZINGIZIWA MILIONI 15 0717943807 WILAYA YA

  Property for Sale

  NYUMBA INAUZWA IPO MJINI CHANIKA ZINGIZIWA - MILIONI 15 -- 0717943807 WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM BEI TSHG 15,000,000/= MILIONI 15 INAVYUMBA VITATU - (1 MASTER) SITING ROOM - JIKO - STORE - PUBLIC TOILET. INAENEO - SQMT 400 - BARABARA IPO UMEME UPO - - MAJI - YAPO - WOTE MNAKARIBISHWA TIGO 0717943807 VODA 0765253501 - WHATSAPP ZOTE Tembelea More

  Price: TZS15

  Property SellerPrivate Seller: Naheed D

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
 • Properties For Sale At Ilala uosngae mm

  Property For Sale At Dar Es Salaam, Tanzania East Africa Location is Ilala, Sharif shamba District Ilala Details - Size is 700 sqm - Fist line to road tarmac active road. - Active location for business Document :Tilted deed available More

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: Alvin P

  View
  House for Sale in Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania Ilala, Dar Es Salaam, Tanzania
 • Nyumba ya kupanga

  Property for Sale

  Nyumba inapangishwa Arusha darajani dampo bei 70k Ni DABO SELFU INAWAPANGAJI WAWILI TU PIGA SIMU 0695754288

  Price: TZS70,000

  Property SellerPrivate Seller: Dominic J

  View
  House for Sale in Arusha dampo Arusha dampo
 • Kibaha kwa matias

  Property for Sale

  Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master bedroom Eneo lina sqm 22*22 Bei million 38 0782944673

  Price: TZS3,800,000

  Property SellerPrivate Seller: SIMTOP(TANGAZA S

  View
  House for Sale in 110 110
 • HYDRAFORM INTERLOCK BLOCK

  Property for Sale

  Kwa muonekano mzuri wa nyumba Yako jenga Kwa interlock block Uzur sisi tunafyatulia site kwako wewe utaandaa maji tu material mengne nitafatilia mwenyewe Nje ya mkoa wa Dar es salaam Kaz ianzie tofal elfu 10 idadi unaweza kujenga nyumba standard ya vyumba vi 3 Bei ya tofal 1=700 Zaidi wasiliana nami Kwa 0693079810 Ipo WhatsApp pia

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: Rajab J

  View
  House for Sale in 110 110
 • TUNAJENGA MASHMO YA CHOO YASYOJAA BODGESTER SEOTC TANK

  Property for Sale

  TUNAJENGA MASHMO YA CHOO YAKSASA YASYOJAA BODGESTER SEPTC TANK GHARAMA YA DAR ES SALAAM NA PWANA TSHS 1, 400, 000/- TU GHARAMA YA MKOAN TSHS 1, 600, 000/- TU GHARAMA H NAJUMUSHA KLA KTU KUANZA KUCHMBA, VFAA, KUJENGA NA KUFUNKA MFUMO HUU UNAFAA KATKA NYUMBA ZA MAKAZ NA NYUMBA ZA BASHARA, MAKANSAN, MSKTN, MASHULE, More

  Price: $1,400,000

  Property SellerPrivate Seller: TANZANIA O

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • Vitu Vya Kiislamu

  Property for Sale

  Tunauza vitu vya kiislamu, zawadi, zawadi za kila aina ya zulia la maombi, vitabu vya quran, tajweed, kofia, manukato yote ya kiarabu oud, misk, amber, kanzu, kaunta, asali asli ,tendi ,na vitu vingine vingi , whatsapp aw nipigeyi kwenyi namba yangu chiekh Jamal 0676773057 na fanya deliver mpaka nyumbani.

  Price: $5

  Property SellerPrivate Seller: RuMina K

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • Fence wire Senyenge

  Property for Sale

  Tunatengeneza na kuuza fence wire na senyenge Kwa ajili ya viwanja, mashamba, Ranch, na uzio kwaajili ya ulinzi wa nyumba. 2.0mm bei yake ni 55,000/= 2.5mm bei yake ni 65,000/= 2.5mm (Green) ni 80,000/= 3.0mm (Green). ni 110,000/= NB: FENCE WIRE ZOTE NI MITA 11 KWA FUTI 6. TUPIGIE/ WHATSAPP 0789020813. TUPO KINONDONI MKWAJUNI DSM, DELIVERY NI TANZANIA NZIMA.

  Price: TZS55,000

  Property SellerPrivate Seller: DEALS I

  View
  House for Sale in 110 110
 • Nyumba hii inapangishwa

  Property for Sale

  Nyumba hii ipo msasani msikitini ipo pembeni ya barabara kama unavyoona nyumba ina frame (2) mbili na vyumba 5 kimoja master anatafutwa mpangaji mmoja (1) wa nyumba nzima hiyo bei kwa mwaka wa kwanza unalipa kidogo tyu ufanye matengenezo

  Price: TZS3,000,000

  Property SellerPrivate Seller: SIMTOP(TANGAZA S

  View
  House for Sale in 150 150
 • 0653074088

  Property for Sale

  UNAWAZA BIASHARA YA BODABODA NJOO NINA TVS BADO MPYA (PRIVATE) ENGINE HAIJAGUSWA NA HAIJAFANYA KAZI YA BODABODA , IPO NYUMBANI KWAKIFUPI NJOO KAGUA NI BURE NA DOCUMENT INASOMA JINA LANGU (SIO DALALI) IPO DAR

  Price: TZS150

  Property SellerPrivate Seller: Ebenezer R

  View
  House for Sale in 110 110
 • Corola

  Property for Sale

  Hayaa hii gari Iko nyumban kwangu ni 3,000,000/=tu nakupa hii gari ni full mziki full documents,full ac harafu hii gari imetunzwa mno popote safar wahi piga 0659934520

  Price: TZS3,000,000

  Property SellerPrivate Seller: Robert M

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
 • Bomo na eneo lake linauzwa

  Property for Sale

  Lipo karibu na barabara na. Huduma zote zakijamii kigamboni mwembe mtengo malipo hata Kwa awamu cha muhimu uhaminifu na pia kuhusu bei mazungumzo yapo na eneo ni kubwa unao uwezo wa kujenga nyumba hata 2 kubwa na sehemu ya packing car ikabaki Kwa maelekezo zaidi 0674004383 0743009382

  Price: TZS40

  Property SellerPrivate Seller: KUPATANA B

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
 • NYUMBA YA KUPANGA

  Property for Sale

  NYUMBA NI MPYA IPO KIGAMBONI ,DAR ES SALAAAM ,,,INAPANGISHWA NYUMBA INA CHUMBA ,SEBLE NA CHOOO .UMEME NI WA KUJITEGEMEA ,MAJI YA KUTOSHA ..NYUMBA IPO KARIBU NA PWEZA BEACH .

  Price: $150,000

  Property SellerPrivate Seller: Shedrack C

  View
  House for Sale in Dar es Salaam Dar es Salaam
 • Nyumba inapangishwa

  Property for Sale

  Nyumba inapangishwa ipo dar es salaam machimbo stendi Ina master room, bedroom, citting room and kitchen room Umeme luku meter inajitegemea Maji yapo ndani Parking ipo Nyumba ipo ndani ya fensi Inapangishwa kwa gharama ya sh.300,000 kwa mwezi Kwa mawasiliano zaidi call 0769233063

  Price: TZS300,000

  Property SellerPrivate Seller: HANCY M

  View
  House for Sale in 110 110
 • NYUMBA INAPANGISHWA

  Property for Sale

  Nyumba inapangishwa ipo tegeta wazo ina chumba,choo pembeni,jiko na sebure nyumba bado mpya

  Price: TZS130,000

  Property SellerPrivate Seller: Ahmady R

  View
  House for Sale in 110 110
 • Coach

  Property for Sale

  Slightly used and still in perfect condition no damages no rips no tears.we are selling it since we bought a larger one and the house wont fit two sofas.Delivery at an extra cost 3.4m length 2.75m width 0.93m depth $300

  Price: A$280

  Property SellerPrivate Seller: Kei D

  View
  House for Sale in Sydney, NSW Sydney, NSW
 • 0743529702 0656394984

  Property for Sale

  Nyumba inauzwa ipo ukonga majohe nyumba YA vyumba 3 vya kulala sitingiroom dainigiroom master toilet pclice nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa kiwanja sqm 300 nyumba Hati yake ya serekari Mtaa umbali kutoka Barbara kuu kama dk 6 Kwa minguu nyumba bei ml 43 Contact : 0656 3949 84 Contact : 0743 5297 02

  Price: TZS43

  Property SellerPrivate Seller: Dady M

  View
  House for Sale in 110 110
 • Kitanda imara 6 5

  Mwaisa furniture mpendezesha nyumba Yako Mawasiliano Wsp0612126220 Call 0685599801

  Price: TZS650,000

  Property SellerPrivate Seller: Neserian L

  View
  House for Sale in 110 110
 • Puetiner

  Mwaisa furniture mpendezesha nyumba Yako Mawasiliano Wsp. 0612126220 Call. 0685599801

  Price: TZS350,000

  Property SellerPrivate Seller: Mbeya R

  View
  House for Sale in 110 110
 • For sale

  Property for Sale

  Nyumba inauzwa njiro tanesko ipomita 400 Nyumba ni nzuri ina compaund kubwa Ina bedroom tatu sebule dining chumba kimoja self ina Choo cha public Ina hati miliki ilionyooka Kwa maelezo zaidi piga simu moja tu 0788464751/0762838280

  Price: TZS200

  Property SellerPrivate Seller: Dalali U

  View
  House for Sale in 231 231
 • WATAALAMU WA KUFUNGA CCTV CAMERAS

  Property for Sale

  CCTV CAMERA INSTALLATION.. Tumemaliza kazi yetu ya kufunga mfumo wa Cctv Camera kwa mteja wetu karibu kupata huduma zetu Tunafunga na kuuza CCTV CAMERA OFISINI ,MADUKA YA WAKALA, SHELI ,NYUMBANI ,HATA SEHEMU ZA MIFUGO Kama unatatizo lolote kwenye mambo ya CCTV ,NA MIFUMO YA ULINZI TUPIGIE Tupo ilala pia Tupo Tabata , Dar es salaam 0786 848 001 WhatsApp 0763 351 251 @ditech.technology

  Price: TZS45,000

  Property SellerPrivate Seller: DEALS I

  View
  House for Sale in 110 110
 • DECORATION DECORATION

  Property for Sale

  Tunafanya decoration kwenye maoficini,magetoni,vyumba vya biashara na kwenye nyumba za kuishi kwa bei rahisi mno.Tunatumia rangi zenye ubora wa kuweza kudum kwa muda mrefu Mawasiliano:0779 435871

  Price: TZS100,000

  Property SellerPrivate Seller: Faraja A

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
 • ROUTER

  Property for Sale

  ROUTER TZS115,000 WIFI (ROUTER) KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISINI AU NYUMBANI KWAKO (0676811444) -Router ni Bure mteja utailipia package ya mwezi (uwe na TIN na ID) -wireless router unahama nayo popote Unaunganisha devices 64 Kwa umbali wa mita mpaka 200 -free delivery -huduma inapatikana Tanzania nzima. -nichek 0676811444call or Whatsapp -Karibu sana tuwahudumie.

  Price: TZS115,000

  Property SellerPrivate Seller: DAR P

  View
  House for Sale in Tanzania Tanzania
 • singo yakawaida bado mpya ful tailiz kote ipo ngulelo shuleni

  Property for Sale

  singo yakawaida full tailiz Nyumba yakiwango ipo ndani yageti kwamaelezo 0746194452

  Price: TZS40,000

  Property SellerPrivate Seller: FELIX M

  View
  House for Sale in 231 231
 • 5 apartments houses for sales Tsh 130 millions located in Dar es salaam

  Property for Sale

  5 apartments houses for sales Tsh 130 millions, located in Dar es salaam - Kipunguni B Ukonga, Tanzania, Plot size 700 sqm surveyed ____________ Amenities -2 bhk (1 ensuite room) / sitting room / kitchen & store / public toilet -meter luku / clean water 24hrs and parking space ________Note Inside the fence there are 5 houses with tenants, each More

  Price: TZS130,000,000

  Property SellerPrivate Seller: JIPATIE P

  View
  House for Sale in 110 110
 • KIWANJA KINAUZWA MILION

  Property for Sale

  kiwanja kipo zanzibar mkabara na kiwanda Cha maji Cha drop zanzibar ukiwa unaelekea uroa zanzibar kina nyumba ya vyumba viwili na jiko na midimu na michungwa pamoja na migomba ukitaka unaweza kunipata kwa namba hii 0684110677 au 0779052181

  Price: TZS17

  Property SellerPrivate Seller: TANZANIA O

  View
  House for Sale in Sokoni, Zanzibar Urban/West, Tanzania Sokoni, Zanzibar Urban/West, Tanzania
 • Eneo Linauzwa

  Property for Sale

  Nyumba Yenye Eneo Kubwa INAUZWA Eneo Lina 1.5 Acre Location Tegeta

  Price: FREE

  Property SellerPrivate Seller: Oluwa D

  View
  House for Sale in 110 110
 • Sublime Badee Al Oud Perfume set

  Property for Sale

  Jipatie Perfume set zetu pendwa yenye Perfume, Body spray, na Air freshner safiii kabisa kutoka U.A.E. Hapa utanukia vizuri wewe, pamoja na gari/ nyumba pamoja ofisi yako TUPIGIE/ WHATSAPP 0785813865 Dar es Salaam, Tanzania Tunafanya delivery kwa gharama nafuu, na mikoani tunatuma kwa uaminifu kabisa Karibuni sana sana sana

  Price: TZS95,000

  Property SellerPrivate Seller: Meneja A

  View
  House for Sale in Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam