SHAMBA LINAUZWA Lipo BAGAMOYO,FUKAYOSI MJINI. Umbali kutokana barabara kubwa ya Lami hadi shambani ni kilometer 1 Tu. Ukubwa ni HEKA 3 Shamba inaVisima viwili vya kuchimbwa,Kisima cha kujengea,Kijumba cha mliniz na vyoo vizuri.Kuna miembe michache. Ardhi yake imenyooka nzuri sana. Price ni 26 Million
TSh26