NYUMBA INAUZWA SH. MILION 70 MAONGEZI YANARUHUSIWA, IPO CHANIKA MWISHO KARIBU NA STAND. INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIWILI MASTER, SEBULE, DINING NA JIKO. KWENYE FENCE NA GETI. KUNA HADI UMEME WA SOLAR NA KISIMA CHA MAJI MDA WOTE, PIA KUNA MABANDA KUFUGIA KUKU. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521/0679291521 info@dbt.co.tz , deodionise@gmail.com
TSh70,000,000