Nyumba inauzwa mil 6 tu. Ina Chumba na sebule. Ina Banda la mifugo imara Kama uonavyo. Pia uwanja mkubwa unabaki.Umeme upo. Loc. Pugu kwa Mustafa.Kwa miguu ni Dk 5 had barabara ya lami na kituo Cha daladala. 0713828879
$6