Nyumba ya chumba na sebule, Banda la mifugo na uwanja mita 15/15 vinauzwa kwa Mil 4.5 tu. Ipo Wilaya ya Ilala kata ya Pugu Mtaa wa Mustafa. Ni kituo kinacho fuata baada ya kigogo fresh au kigogo Sokoni( K/Sokoni.) njia ya kuelekea Chanika. Kutoka K/Sokoni - Kkoo Tsh 700 naul mpya, Had Karume 700 pia, Temeke 600, Ubungo 800, Makumbusho 900. Sifa ya More
$45