Nauza eneo yenye ukubwa wa 30 kwa 15. Eneo lipo JUA kali 3km kutoka Lami ya Moshi Arusha (Leganga). Eneo lipo mahali (barabara ya kuingia Ngarasero lodge) pazuri na linafikika kwa urahisi. Bei ni Mil 9.5 tu. Umeme Upo,Maji YAPO. Karibu sana.
$9,500,000