NYUMBA INAUZWA Nyumba zinauzwa olasiti arusha Zipo nyumba mbili sehemu mojaa Nyumba ya kwanza Ina room tatu za kulala moja master Ina sebule kubwaa na dairning Ina jiko Ina public toilet na bathroom. Nyumba ya pili Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master Ina sebule na jiko Ina choo cha public More
TSh65