Nauza Nissan Cilivian chuma kama inavyoonekana kwa picha naiuza iko pouwa na inapiga rout mjini... nilikuwa nauza milion kumi na tatu .... lakini Engine yake inapumua inahitaji ifanyiwe overall .. boss napungaza 3 milion kwajili ya hio service .. utanipa kumi :::: Kama una nia njoo 0623042858 : Location buguruni ukija gari unawasha unaondoka no mbambaa
TSh10,000,000