Nahama mkoa nauza vitu vyangu vyote hivi Vimebaki kitanda double deck futi 3 na nusu juu na chini 200000 tuu Washing machine kg 7 inafua na kukausha bei yake 380,000 Stand za nguo na viatu Microwave, pressure cooker, bread toaster na coffee maker Stuli za storage Magodoro futi 3 na nusu inch 6 mawili yote 150,000
FREE