Samsung galaxy s20 5g, haina tatzo lolote zaid ya hapo pembeni juu kushoto kuna creki kidogo, camera zote n upepo, haina kipengele zaidi ya icho hapo pichan... inafanya kazi poa saaaana.. Mtandao 5g sm n mali halali kabisaaaaa.. inatumia lain mbili. Location tegeta dsm. Xchange allowed.. gb128 ram8 mteja serious inbox me.
$250