njoo uchukue pixel 6 kavu imenyooka saaaaana ila mfuniko kidgo

njoo ubebe pixel 6 plain imenyooka kila kitu, betry linakaa sana na charge, camera n dunia nyingne aisee, fingerprint kwenye kioo. mtandao 5g, sm n lain mbili yaan sm ya kawaida na Esim. android version 14 yaan full security.. body imenyooka sana, kipengele n mfuniko creki kidgo sanaaa ila mbele haina kreki. wai nipe 420 tuu maongez kidgo yapo. XCHANGE ALLOWED. Mteja serious nitext inbox nipo active.

$420

seller's name'
Name: TANZANIA O
seller phone number
Location: Dar es Salaam
uploaded on
Date: 18 February, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of njoo uchukue pixel 6 kavu imenyooka saaaaana ila mfuniko kidgo
Image 1 of 3
A picture of njoo uchukue pixel 6 kavu imenyooka saaaaana ila mfuniko kidgo
Image 2 of 3
A picture of njoo uchukue pixel 6 kavu imenyooka saaaaana ila mfuniko kidgo
Image 3 of 3