Nauza Xbox 360 kila moja nimeekea game 40 sijainyima hata moja inakuwa na pad mojamoja wired,njoo umnunulie mwanao awe anajifurahisha aache kuzurura,zipo za mission za kuchangamsha akili na mipira PES 23/24 FIFA 23 KWA 150K bei inaongeleka. 0719559812 0756684971
TSh150,000