Nauza Sabufa mpya kabisa Aina ya Aborder kwa Tsh. 125,000/= Inapiga vizuri sana mdundo uliotulia..Inatumia Bluetooth, flash, Memory card,Aux na FM Free delivery mpaka ulipo kwa dsm na utalipia baada ya kupokea na kuikagua. Bidhaa zote zina risiti na warranty ya mwaka mmoja.
$125