Kwa mtu mwenye uhitaji wa computer desktop ipo full ni duo core 2gb ram DDR 3 Ina 320gb hdd,DVD writer,keybody na mouse,inatumia HDMI, shida desktop imepotea mfuniko na monitor Haina mguu ndio mana nauza Bei rahisi ila nzima unafanya kazi Kila kitu ipo full monitor inch 19" wide screen
TSh130