Nyumba

Nyumba inauzwa kibaha maeneo ya msufini-mlandizi ina vyumba vitano dining sebule jiko store pia kuna mabanda kwa nje kama vyumba kumi haf eneo lake limezungushwa nafensi ya tofali likiwa na ukubwa wa hekali moja kwa mawasiliano zaidi piga 0657930065 note hii nyumba haina udalali

TSh150,000,000

seller's name'
Name: Khalid M
seller phone number
Location: Kibaha
uploaded on
Date: 05 March, 2024

Contact Seller

seller phone number Phone Number: 0657930065
Loading recommendations...