Nauza kiwanja kipo arusha kiserian barabara ya east afrika karibu na shule ya msingi muungano huduma zote zipo ukubwa ni 47 kwa 70 tayari kunanyumba ya kuanzia maisha yenye chumba sebule na choo cha ndani na uzio bei ni ml 35 ni changu aliye tayari 0766077484
TSh35