Assalamu alaykum Habar Za Muda huu..Hii Nyumba.. INAUZWA.. InaVyumba 3 master 1 na Single 2,Ukumbi Mkubwa.. Choo na jiko na Sehemu ya fensi ipo..Maji ya kisima na umeme Gari mpk Mlangoni ......Nyumba Ipo Fuoni Kibondeni...Bei.. 28 Unaongea na Mwenye Nyumba.. Njoo inbox kwa biashara uhakika
TSh280,000