Wadau habari zenu... Nauliza mwenye elimu na WI FI Router..
Wadau habari zenu... Nauliza mwenye elimu na WI-FI Router.. Ni ipi WI-FI Router nzuri na ya mtandao gani na zipi ni gharama zake za bando? Je kuna unlimited bundle kwa hizi WI-FI Router??? Nasoma maoni.