Nauza simu zote mbili, kila moja storage ni 64 GB RAM NI 4GB, Samsung S9 inafanya kazi vizuri, ila kioo chake kimepasuka huwezi kupiga simu unaweza kupokea tu! Samsung A03 storage ni 64GB & 4GB RAM, kioo kimepasuka ila inafanya kazi vizuri. Contact 0769812182 no Messeger sitakujibu
TSh350,000