Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 144, 12 kwa 12 kinauzwa Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani kilometa 3 Kutoka barabarani Bei milioni 1na laki 2 tu Umeme upo maji yanatumika ya visima huduma zengine zipo Ukihitaji nicheki njoo umiliki kiwanja chako heshima nikuwa na kiwanja chako Paga namba 0689530463,0778079319
TSh12