Nyumba ipo kigamboni mjimwema maweni, chumba kimoja master sebule pamoja na jiko lake uwanja umeisha umeme upo maji yapo ndani imeisha kila ktu barabara ad site open space ya kupak gari ipo Bei million 12 piga 0714120308 ufike site, ukitaka video njoo watsap ntakutumia
$12