Wahi kiwanja kipo vigwaza mlandizi ukubwa ni 15x20 unatembea kwa mguu tu toka lami huduma za jamii zote zipo. Usikikose bei ni laki 8 tu. Mauziano serikali ya mtaa. Nicheki chapu ukiwahi.
TSh800