Nyumba inapagishwa ipo Maili moja Kibaha Pwani kilometa 2 kutoka barabarani gari linafika inaroom 3 viwili master sebure dinning jiko na public toilet Maji yanaflow ndani kuna matank ya maji umeme wakwako ipo ndani ya fensi manzingira mazuri na tulivu Usafiri wa Mwendokasi upo kwa wingi huku Kodi laki 2 kwa mwezi inalipwa miezi 4 mmoja wa dalali Kupelekwa kuona elfu 15 tu Mjanja kuwahi njoo upate kile kilicho bora fanya maamuzi sasa Piga namba 0689530463,0778079319
$2