Nyumba inapangishwa vyumba viwili vikubwa vyakulala sebule kubwa, jiko na choo ndani kwa ndani.milango miwili nyuma na mbele full aluminium na gypsum board, full tiles maji na umeme mnashare hapo hapo.inapatikana luguluni mita 800 kutoka barabrani boda buku ila unatembea tu sio mbali. Dalali haina hiyo kuiona bure kabisa Piga simu::0613212686 Wahi mapema kodi laki na nusu (150000))
$150,000