Nyumba inauzwa ipo mbeya mjini itua ipo barabarani nyumba ya kisasa nyumba Ina fensi usalam asirimia ndani Kuna maua mazuri maji umeme alarm kwa wageni Ina uwanja mkubwa unaweza kujenga kiwanja kidogo Cha michezo pia kila chumba kina serf ndani kwa ndani inauzwa milion 70 maongez yapo usikate tamaa nipigie no 0759836428 au 0719921204 kalibu Sana
FREE