Nauza kiwanja mlandizi vigwaza

Njoo nikukatie kiwanja chako 18x20 kwa laki nne tu. Mauziano serikali ya mtaa hamna udalali. Eneo ni langu mwenyewe ukitaka eneo kubwa zaidi tunazungumza. Wahi umiliki kieneo chako kijana mwenzangu mjini hapashikiki usije ukakosa pakujenga mna hata huku nje ya mji panapanda thamani kila leo. Usije juta baadae watoto watakapokosa pakurithi.

TZS400,000

seller's name'
Name: Car D
seller phone number
Location: Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania
uploaded on
Date: 01 April, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of Nauza kiwanja mlandizi vigwaza
Image 1 of 4
A picture of Nauza kiwanja mlandizi vigwaza
Image 2 of 4
A picture of Nauza kiwanja mlandizi vigwaza
Image 3 of 4
A picture of Nauza kiwanja mlandizi vigwaza
Image 4 of 4