kiwanja kinauzwa kipo kisemvule nauli 1000 tu kutoka stend ya kisemvule, bei ni 5.5 milioni tu.maongezi yapo kidogo ukubwa wa kiwanja ni futi 44 kwa 44. ni pazur kwa kujenga nyumba ya kuishi au kupangisha kwa vile kuna viwanda vinavyozunguka eneo hilo. kwa mawasiliano piga simu/txt 0625800366
TZS5,500,000