Kiwanja kinauzwa mbezi msumi center 25/20 kipo barabarani na kimezungukwa na majirani pande 3 ambao wamejenga mijengo ya kisasa. Huduma zoote za kijamii zipo, kwa mguu dk 7 upo kituoni msumi center na boda boda dk 2 nauli 1000. Biashra inafanyila OFISI YA SERIKALI YA MTAA + MJUMBE NA WENYEKITI NA MASHAHID WOOTE HATA WANASHERIA/MAWAKILI. Inbox kwa mteja tuma namba nkupgie. Maongezi yapo.
$800,000