Chumba 1 cha kulala, choo, sebule,jiko. Umeme unajitegemea maji watu 2. Zipo 4 kwenye geti moja. Kodi miezi 3 inapo kelewa. Nyumba ipo Boma CR mita 400 tota lami. 0767550565
TZS250,000