Dell optiplex 3010 Core i3 HDD 500GB RAM 4GB DVD ROM USB za kutosha HDMI interface Kiufupi ni mashine latest kabisa. Bado mpya sana ila imepata KIPENGELE ghafla na naiuza kama ilivyo chap. 0786422352 Arusha NB: Serious buyer tu ndo anitafute.
TZS200,000