Kiwanja

Nauza kiwanja changu kipo TABATA KINYEREZI (MSIKITINI) KWA DITOPILE. Kutoka kituoni hapo MSIKITINI mpaka kwenye eneo uku kwa Ditopile boda boda 1000 buku tu. Kwa mguu pia unaweza kufika. UKUBWA WA ENEO NI 20 20 BIASHARA SERIKALI YA MTAA KUKIWA NA VIONHOZI WOTE NA DOCUMENT ZA UMILIKI, MAUZIANO NK ZOOTE ZIPO INBOX TUFANYE BIASHRA AU WEKA NAMBA NKUPIGIE CHAP TU. KARIBUNI SAAANA.

$5,000,000

seller's name'
Name: KUPATANA B
seller phone number
Location: Dar es Salaam
uploaded on
Date: 15 April, 2024

Contact Seller