HABARI, NAUZA GARI YANGU PREMIO YANGU OLD MODEL YA MWAKA 2000 GARI NI YANGU MWENYEWE NO DALALI, INA ENGINE YA 7A KAMA MNAVYOIONA FULL AC GARI NIMEITUNZA VIZURI NINA SHIDA NA PESA YA HALAKA ANGALIA PICHA ZAKE UJE TUFANYE BIASHARA GARI IKO MIKOCHENI A HAPA NYUMBANI. NAMBA YANGU NI 0765550604 VODACOM, ASANTE.
TZS7,800,000