Habari zenu wataalamu... Nina changamoto kidogo hapa.. External drive(GB 500) yangu ghafla tu nikitaka ku access naambiwa "The file or directory is corrupted and unreadable"... Sijaidondosha wala kuifanya kitu chochote.. wala haijapata na 'physical damage' yoyote.... Tatizo limetokea tu ghalfa kipindi nime connect kwenye PC(window 11) Je nini suluhisho lake pasipo kuformat data au kupoteza chochote.?? Natanguliza shukrani,Waungwana!
FREE