Kuna connection ya Rauter Za Airtel 5G Unlimited na 4G pia 5G ni 200,000/= kwa wanaochukua unlimited bundle ya 70k *na hii 5G ni unlimited ambayo unalipia 110K kila mwezi *4G ni 100K ina offer ya 50Gb valid mwezi mzima Inavifurushi vifuatavyo 1. 20,000/= Gb 22 2. 30,000/= Gb 35 3. 75,000/= 100Gb 4. 100,000/= 200Gb 5. 150,000/= 350Gb 6. 200,000/= 500Gb Incase uki hitaji nakufanyia instalation bila fee yoyote.
TZS110,000