guys hii router ni bure, yaani nakupa bure, unacholipia ww ni bando tu utakalo chagua hapo kulingana na mahitaji yako, bei za bando zinaanza 100,000 tu, ukifanya hesabu za mwezi mzima, za bando unazojiunga kwa kila siku inazidi hiyo 100,000, sasa kwanini usitumie router hii ambayo itakuwa ni msaada kwako, hii router bando Zake zote ni unlimited yaani MBs hazikati mpaka mwezi uishe, pia zina speed yakutosha na pia unaweza kuunga simu za watu 20 bila changamoto ya mtandao, changamka ww. 077285473/0712455516
TZS100,000