iPhone 11 pro max Gb64 ipo vizuri haijawahi kubadilishwa kitu chochote yani no message True tone Face id Betry Bh 78 sarvec ila ina kaa kaa charge Kama unavyo iona hapa chini ina ukungu kwa mbali sana ila ukiweka dark mode hapaonekani bei 700000 simu Mali halali ukitaka kuandikishana Sawa exchange iphone na samsung only
$700