Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga

Haya eneo lina sqm 1000,ukiachan na iyo nyumba ilojengwa waeza jenga nyumba nyingine mbili kubwa kama iyo,ina hati ya mauziano kutoka serikali ya mtaa,haina mgogoro wwt sio ya familia,mvua ikinyesha maji utayasikia kwa jirani pako juu hakujai maji afu gari inafika mpk sebleni,nyumba Ina vyumba 3 kimojwapo ni master,public toilet,dining,jiko pamoja na stoo,KARIBUNI

TZS65

seller's name'
Name: Halima A
seller phone number
Location: 110
uploaded on
Date: 19 April, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga
Image 1 of 5
A picture of Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga
Image 2 of 5
A picture of Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga
Image 3 of 5
A picture of Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga
Image 4 of 5
A picture of Nyumba inauzwa kwa muhaya njia nne mbondole ukonga
Image 5 of 5