Njoo beba Aquos zero 5 5g.. Sifa: ina camera kama za pixel yaan huakka, ina spika bomba. Finger ipo kwenye kioo, kioo chake kimenyooka sana hakina krek hata kidgo wai offer myeja serious tufanye bihashara. Mali halali kabisa haina dalali maaongez kidogo sana yapo..
$165