Nauza TVS 125 haina kipengele , chombo haijawahi kuguswa mashine, Chombo ina full documents, na naitumia mimi mwenyewe kwa matumizi yangu ya ofisini haijawahi kutumika kama bodaboda, Chuma imenyooka kama unavyoiona nauza kwakuwa nina shida imenipata ghafla...Starter ni ya mkononi jino moja tu safari, kupiga kick utake wewe....njoo na fundi wako naisukima kwa 1,450,000 maongezi yapo kidogo sana mawasiliani 0714409820 nipo BUNJU
$1,450,000