Sifa za camera hii 1. Inatumia laini ya simu hivyo matukio yote utayaona kupitia simu yako ya mkononi 2. Haihitaji router 3. Inarekodi video zenye rangi na sauti usiku na mchana 4. Inazunguka nyuzi 360 5. Inakuwezesha kuona matukio yote ukiwa mahala popote duniani 6. Inatumia holoda ya bulbu ya taa ya kawaida 7.Ni rahisi kuifunga 8.Ina mfumo wa kuwasiliana (Two-way audio)
TZS120,000