NAUZA HII GARI NI YANGU NA FULL DOCUMENT , GARI IPO KATIKA HALI NZURI AINA TATIZO LOLOTE NI KUILIPIA NA KUINGIA NAYO ROAD .. NAOMBA MTEJA UFIKE KWENYE GARI FIKA KWENYE GARI UKAGUE GARI UJALIBU GARI NA TUFANYE BIASHARA . GARI INA INJINI MPYA YA 5A NA WALA HAIGONGI WALA KULETA SHIDA YOYOTE. NAOMBENI WATEJA MUJE NAMBA YA SIMU 0683 160309. NA DALALI NILETENI WATEJA MPATE POSHO
TZS27