NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE, JIKO NA DINING INAUZWA SH. MILION 40. IPO CHANIKA KWA NGWALE KARIBU NA STAND GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA. UKUBWA WA KIWANJA MITA 20X20 MAJI NA UMEME VIPO PIA KUNA FREMU YA BIASHARA. KUPELEKWA KUIKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521, 0679291521, info@dbt.co.tz , deodionise@gmail.com
TSh35,000,000