APATIMENTI YA KIFAMILIA MPYAA KABISA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 10, TUU KWA MGUU _____________ SIFA ZA NYUMBA VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTA SEBULE JIKO NA CHOO CHA PABLIC INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA HII NYUMBA BADO FENSI ILA KWA SASA PAKING IPO KWA MWENYE NYUMBA ====== KODI 350,000/=X5 AU 6 KUONA NYUMBA 30000/= DALALI 350,000/= PINDI ULIPIAPO NYUMBA ____________
FREE