Nyumba inauzwa Ipo kiluvya madukani, Makurunge. Ukubwa wa eneo ni 40_40. Ina umeme tayari. Ina vyumba 7 kila chumba kina choo chake. Bei mil 75 maongezi yapo Simu au Whatsapp 0712 188 493
TZS75,000