Nyumba inapangishwa laki Moja na nusu Kodi ilipiwe kuanzia miezi3 nyumba ina vyumba3 vyumba2 master,sebule jiko&store na choo cha public nyumba ina maji na umeme nyumba ipo ndani ya fensi stay alone location kitunda kwa mpemba magole dar es salam 0716570574.
TZS150