Kiwanja kinauzwa Bei ya kutupa, Bei ni Milion 7.8 Tu. Kiwanja kinapatikana Kigamboni Tuangoma Kwa Sako. Kiwanja kina Msingi wa vyumba vitatu na Sebule. 0698534925/0744993715 Kiwanja ni kizuri sana, nguzo ya Umeme hapo hapo kwenye Kiwanja, Majirani wa kishua, sio Mbali na barabara ya lami, unaweza tembea hata Kwa mguu. Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa ni Futi 50 X 55. Unaweza kujenga Nyumba ya kuishi au ya kupangisha. Njoo uchukue hichi Kiwanja ujenge Nyumba ya ndoto Yako. Karibu sana 0698534925/0744993715
TZS7,800,000