*Leo tunatangaza rasmi bidhaa yetu mpya ya 10kg Automatic Washing Machine. Tunapanga nn tulete lakin hatuachi kufanyia kazi mawazo na mapendekezo yenu ya nini mnataka, kwa kiwango gani na kwa bei gani. Tumeona tuwafaidishe na wale wenye matumizi madogo ya washing machine kwa mfumo wa automatic kwenye sifa ya kufua, kusuuza Make the rest of your life the best of your life* 0714 414141
$700,000