Karibu sana Boss wangu asante kwa kutufikia katika page yetu WiFi yetu kifaa cha 5G ni bure ila tu kwa mteja mwenye uwezo wa kulipia UNLIMITED ya 110,000 kwa mara ya kwanza na baada ya hapo kila mwezi analipia 70000 bando la siku 30 Na awe na tin namba, nida namba, Kasi yake ni mbps 30, kinakamata umbali wa mita 80 unaweza unganisha hadi watu 64. NA KIKIHARIBIKA MATENGENEZO NI SISI WENYEWE NDANI YA MIAKA MIWILI/2 Ahsante
TZS110,000